0
Unataka kuhudhuria matamasha ya Jay-Z na Beyonce miaka yako yote? Sasa mchongo huu hapa. Unachotakiwa kufanya ni kutokula nyama mwezi mmoja (Vegetarian) na kula mboga za majani pekee.

Wawili hao wametangaza mchongo huo kwenye mradi wao 'GreenPrint Project' mpango ambao umekuja kuhimiza watu kutumia vyakula vya mboga mboga kwenye milo yao. Cha kufanya ni kutuma maombi kwenye tovuti zao na kisha majina yatachaguliwa kwa ajili ya kuanza zoezi.

Post a Comment

 
Top